football soccer khaled3ken

9 Ocak 2013 Çarşamba

Karakalem | portre | ressam | resim | ZAMOYONI MOGELLA

Portrait Drawing Soccer Football TANZANIA ZAMOYONI MOGELLA KHALED ABD EL KARIM Khaled3Ken Galery

نقدم لكم خدمة توصيل اللوحات بالاتفاق مسبقا على واتساب يصل اليك البورتريه اينما كنت

المده حسب بعد المسافه سعر البورتريه حسب المقاس والبلد المقيم فيها صاحب الطلب رسم بورتريه

عالي الجوده بيد الرسام المحترف خالد عبدالكريم

وصف البورتريه ورق إكس خاص برسم البورتريه نقوم بتغطيته بعد الرسم بطبقه شفافه من البلاستك لحماية الرسم مدى الحياة

مما يجعل الرسم لايتأسر بالعوامل الجويه مثل الرطوبه او حراره الجو. ويسبت على شاسيه خشبي مع كلبس من الخلف للتعليق على الحائط مباشره او تقديمه هدية

رسم بورتريه وتقفيل ممتاز لا يحتاج زجاج او برواز فهو مكتمل لا يحتاج شيئ

فقط نحتاج منك الثقه للتعامل معنا عبر هذا الهاتف 009/05415150275

Gallery Khaled3Ken

Portre Ressami Khaled3ken Karakalem

Sevgilinize, esinize ve ailenize verebileceginiz en guzel hediye.


Artist Khaled abd El-Karim

whatsapp 009-05415150275

portre | ressam | resim | karakalem | profesyonel | cerceve

| hizli | kaliteli | guzelsanatlar | universite | gaziantep | sanat

| artist | sanatci | hediye | fotograf | foto tablo | firca |

kalem | Türkiye | galeri | resimogretmeni | khaled3ken

رسام مصري | رسام اسكندرية | رسام كويتى | رسم بورتريه | رسام سعودى | رسام اماراتى | رسم | رسامين | بورتريهات | رسام تركي | رسام مشهور | رسام | رسام عربي | رسام ليبي | رسام عراقي | الرسام خالد عبدالكريم

ZAMOYONI Mogella amewahi, hajawahi kuifunga Yanga?Mpachika mabao mashuhuri wa zamani nchini, Mogella aliyezaliwa miaka 58 iliyopita mjini Morogoro, amekuwa gumzo kubwa hata baada ya kustaafu kwake soka.Kumekuwa na ubishi kuhusu nyota huyo kwamba aliwahi au hajawahi kuifunga Yanga. Ukweli ni kwamba, Mogella aliifunga Yanga, tena lilikuwa bao ambalo lilielekea kuipa ushindi wa jumla wa mchezo huo Simba.Ilikuwa ni Julai 14, mwaka 1984 kwenye Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam, wakati Golden Boy alipotangulia kuifungia Simba kwenye mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, sasa Ligi Kuu katika dakika ya 17.Hata hivyo, mchawi wa vichwa enzi hizo, Abeid Mziba aliisawazishia Yanga bao hilo katika dakika ya 39.Kabla ya kujiunga na Simba, Mogella alichezea timu za Jogoo, Reli, Tumbaku zote za Morogoro tangu mwaka 1974, hadi mwaka 1981, alipotua Mtaa wa Msimbazi.Alijiunga na Simba baada ya soka yake kuwavutia viongozi wa Simba alipokuwa akichezea timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20. Mogella aling'ara zaidi alipokwenda na timu hiyo kwenye michuano maalumu ya vijana iliyofanyika nchini Norway.Alitua Simba kwa dau la Sh 50,000 tu, ambayo tena alilipwa kwa awamu, kwanza 25,000 na nyingine akamaliziwa baadaye.Tangu anajiunga na Simba, Mogella pia alianza kuichezea timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Mwaka 1986, Mogella alikwenda kucheza soka ya kulipwa nchini Kenya katika klabu ya Volcano na baada ya miezi sita alikwenda Oman ambako alicheza hadi mwaka 1989.Alirejea Simba mwaka 1990 na aliichezea hadi mwaka 1992, alipohamia Yanga ambako alicheza kwa msimu mmoja tu.Ingawa wengi wanajua Athumani Juma Chama 'Jogoo' ndiye pekee aliyekuwa akimpa wakati mgumu Mogella uwanjani, lakini mwenyewe anawataja pia Yussuf Ismail Bana, Allan Shomari na Isihaka Hassan kwamba nao walikuwa wakimuumiza kichwaHivi sasa Mogella ni baba wa watoto wanne, akiwemo Farshed, anayefuata nyayo za baba yake kwenye soka.Farshed, aliyezaliwa miaka 17 iliyopita, mbali na kucheza soka shuleni kwao, pia anachezea timu ya mtaani, Buibui nafasi ya ushambuliaji kama baba yake. Farshed ana pacha wake, Fuhal, aliyehitimu kidato cha Nne mwaka jana katika Shule ya Sekondari Green Acres.
Portrait Drawing Football Star Soccer Player

Hiç yorum yok: